Yanga Wameamua Iwe Mbwai, Wanamtaka Kocha wa Taifa wa Madagascar

Yanga Wameamua Iwe Mbwai, Wanamtaka Kocha wa Taifa wa Madagascar


Klabu ya Yanga wapo kwenye Mazungumzo chanya na kocha mkuu wa timu ya taifa ya Madagascar, Romuald Rakotondrabe ili kuwa kocha wao

Mazungumzo yamefikia hatua nzuri Romuald kuja kuchukua nafasi ya Romain Folz ambaye muda wowote Yanga SC watatangaza kuachana naye.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad