TIMU ya Taifa ya Ghana ‘The Black Stars’ imekata tiketi ya kushiriki kombe la Dunia la FIFA 2026 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Comoros kwenye mchezo wa Kundi I huku Misri ikifuzu kombe la Dunia kwa mara ya kwanza tangu 2018 ikimalizika kileleni mwa Kundi A alama 26 baada ya mechi 10.
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: #WCQ2026
Misri 🇪🇬 1-0 🇬🇼 Guinea Bissau
Mali 🇲🇱 4-1 🇲🇬 Madagascar
Ghana 🇬🇭 1-0 🇰🇲 Comoros
Burkina Faso 🇧🇫 3-1 🇪🇹 Ethiopia
Djibouti 🇩🇯 1-2 🇸🇱 Sierra Leone