Simba ya Kocha Dimtar Pantev Yapokea Kichapo Kitakatifu Kutoka Al Hilal, Aibu

Simba ya Kocha Dimtar Pantev Yapokea Kichapo Kitakatifu Kutoka Al Hilal, Aibu


Klabu ya Simba imebondwa mabao 4-1 katika mchezo wa kirafiki uliopigwa katika Viwanja wa Gymkhana jijini Dar es salaam dhidi ya Al Hilal ya Sudan.

Bao pekee la kufuta machozi Simba limefungwa na Elie Mpanzu Kibisawala.

Huu ni mchezo wa pili ambapo mchezo wa kwanza Simba ilipata ushindi wa mabao 2-1.

Hii ni sehemu ya maandalizi ya ya Ligi ya mabingwa Barani Afrika katika kuwania kufuzu hatua ya makundi.

Nini maoni yako??

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad