Pyramids FC wanakaribia kukamilisha makubaliano ya kuongeza mkataba wa mshambuliaji wa Kongo Mahmoud Mayele hadi 2028, huku ofa iliyoboreshwa ikiwa mezani.
Mayele amekuwa mchezaji bora sana , akishika ma jukumu yake vizuri katika kusaidia Pyramids kushinda Ligi ya Mabingwa ya CAF na Kombe la FIFA la Mabara dhidi ya Al Ahli SC.
.png)
.webp)