Kocha Romain Folz Aletewa Msaidizi Mpya Yanga….

Kocha Romain Folz Aletewa Msaidizi Mpya Yanga….


UPDATE: kama nilivyoripoti juzi kwamba Romain Foiz,ataletewa msaidizi…hatimae Leo Yanga…..wamemtambulisha kocha Patrick Mabedi kujiunga na benchi la Ufundi la Romain Folz akitokea kwenye timu ya Taifa ya Malawi.


Kocha huyo atakuwa msaidizi wa Folz,akichukua nafasi ya kocha raia wa Hispania,Manu Rodriguez ambae ameondoka Yanga kwa matatizo ya kifamilia.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad