BREAKING NEWS: Yanga wamemuajiri kocha wa zamani wa Sporting Lisbon

 

BREAKING NEWS: Yanga wamemuajiri kocha wa zamani wa Sporting Lisbon

🚨🚨BREAKING NEWS: Yanga wamemuajiri kocha wa zamani wa vilabu vya Sporting Lisbon,De Agosto na timu ya taifa ya Angola,Pedro Valdemar Soares Gonçalves (49).


Kama nilivyoripoti jana kwamba Pira Ureno linakuja Jangwani,now nathibitisha kwamba Pedro Valdemar Soares Gonçalves ni kocha mpya wa Yanga✅


Ikumbukwe kocha huyo aliifikisha Angola hatua ya robo fainali kwenye Afcon iliyopita.


Balaa jipya NBC😄🖐️

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad