Rushine De Reuck baada ya kufunga goli lake la pili kwenye ligi kuu soka Tanzania kuna fungua milango ya kwenda kuizika rekodi ambayo iliweka na mlinzi wa kati wa Yangasc Ibrahim Bacca baada ya kufunga goli 5 kwenye ligi kuu msimu uliopita 2024/25
Ikumbukwe kua Rushine De Reuck ameshuka dimbani mara 2 na amefunga magoli 2 ni wastani wa asilimia 100 kwenye kila mechi kufunga goli moja
Rushine De Reuck kwenye magoli yake yote mawili amefunguka kutokana na ubora wake wa kujiPosition kwenye mipira ya kutengeneza ambayo imepigwa na Simbasc
Na kwenye magoli yake mawili amefunga kwa mguu na kwa kichwa (kona na free kick)
Tunaweza kusema Rushine De Reuck balaa jipya mjini.