Ahmed Ally Avunja Ukimnya Kuhusu Majerahaa ya Bajaber, Atoboa Siri Hiii

Ahmed Ally Avunja Ukimnya Kuhusu Majerahaa ya Bajaber, Atoboa Siri Hiii


AHMED ALLY "MOHAMMED BAJABER TULIMSAJILI AKIWA NA MAJERAHA"

Meneja wa Idara ya Habari wa Klabu ya Simba,Ahmed Ally amethibitisha ya kwamba nyota wao Mohamed Bajaber amerejea mazoezini tayari kwa kuitumikia Klabu yao baada ya kuwa nje ya uwanja akiuguza jeraha.

Ahmed Ally amesema walimsajili mchezaji huyo akiwa na majeraha na hata alipojiunga nao Madaktari wao waliamua asitumike hadi apone vizuri ndio maana watu hawajamuona uwanjani lakini kwa sasa yupo tayari na kikosi cha Kocha Dimitar Pantev

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad