Yanga Watangaza Tarehe ya Kilele cha Siku ya Wananchi

Yanga Watangaza Tarehe ya Kilele cha Siku ya Wananchi


Klabu ya Yanga SC imetangaza kuwa sherehe za kilele cha Wiki ya Mwananchi zitafanyika Ijumaa, Septemba 12, 2025, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.


Tukio hilo litakuja siku mbili baada ya Simba Day, ambayo itapigwa Jumatano, Septemba 10, 2025, katika uwanja huo huo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad