Waarabu Wanataka Ibomoa SIMBA, Wanamtaka Jean Charles Ahoua Kwa Pesa Chafu

Waarabu Wanataka Ibomoa SIMBA, Wanamtaka Jean Charles Ahoua Kwa Pesa Chafu


Klabu ya JS Kabylie imetuma ofa rasmi ya USD 600,000 (Tshs Bilioni 1.5) ili kupata saini ya Kiungo Mshambuliaji wa klabu ya Simba SC, Jean Charles Ahoua kuelekea msimu ujao

Simba SC wanaipitia ofa hiyo na ikiwalidhisha watamuuza

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad