Simba Akishinda Anatangaza MATOKEO, Akifungwa Kimya

Simba Akishinda Anatangaza MATOKEO, Akifungwa Kimya


Klabu ya Simba Sc imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya klabu ya Al Zulfi Fc inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Saudi Arabia kwenye mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26 huko Cairo, Egypt


FT: Simba Sc 🇹🇿 1-0 🇸🇦 Al Zulfi

⚽ 24’ Ahoua

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad