TRANSFER NEWS: Kipa Ally Salim wa SIMBA Aambiwa Akatafute Timu Nyingine

TRANSFER NEWS: Kipa Ally Salim wa SIMBA Aambiwa Akatafute Timu Nyingine


TRANSFER NEWS LIVE: Muda wowote kuanzia sasa Ally Salim (25) ataondoka Simba na kwenda kutafuta Changamoto sehemu nyingine.

Simba wamemwambia Ally achague timu nyingine ambayo atapata muda wa kucheza kwani tayari wao wamemsaini Yakoub kutoka JKT.

Namungo na Coastal Union wana-push kumpata Ally

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad