Mobile

Yanga na Simba Wagonga Mwamba Kumsajili Gomes Mwalimu wa Wydad



MchambuI HANS amesema kuwa "Pamoja na kwamba Simba na Yanga walionyesha nia ya kumsajili kwa mkopo mshambuliaji wa Wydad,Sele Gomes Mwalimu,klabu yake imekataa❌"

"Wydad wamesema Mwalimu ni mchezaji muhimu kwenye project yao hivyo ataendelea kubaki Morocco"

"Mwalimu amebakiza mkataba wa miaka minne na Wydad hii ni baada ya kutumikia miezi sita ya mwanzo….kwani alisajiliwa kwa miaka minne na nusu"

"Sele Gomes anatarajia kuondoka Tanzania siku ya jumanne kwani tayari Wydad wamemtumia ticket ya ndege"


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad