Mobile

Fadlu; Namtaka Erasto Nyoni Simba



YESSSS!!! Kocha mkuu wa klabu ya @simbasctanzania @davidsfadlu katika report yake ya mwisho wa msimu amependekeza usajili wa mchezaji ambaye atakuwa na uwezo wa kucheza nafasi nyingi uwanjani haswa zile za kiulinzi kama alivyokuwa mchezaji wa zamani wa kikosi hicho @erastonyoni4336

Akizungumza kupitia @crownfmtz afisa habari wa kikosi hicho @ahmedally_ amesema ''kocha anahitaji mchezaji ambaye atakuwa anaweza kutumika katika eneo la kiungo wa chini na atakuwa pia na uwezo wa kutumika kama mlinzi wa kati na hata mlinzi wa pembeni pale anapohitajika kama alivyokuwa Erasto Nyoni !!!

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad