DP World yataka kumiliki hisa Simba SC!
Taarifa zasema kampuni ya kimataifa DP World iko kwenye mazungumzo ya kununua hisa ndani ya Simba SC, zikihusisha pia mwekezaji mkuu Mohammed Dewji (Mo).
Je, huu ndio mwanzo wa sura mpya kwa Wekundu wa Msimbazi? Na Je Hii ni vita ya kuonesha nguvu ya pesa!
Je, bilionea Mo Dewji atakubali dili hili? 🤔
Maswali ni mengi ili yetu macho kuona jinsi gani mambo yataenda.