Taarifa zinaeleza kuwa Yanga SC watakuwa wametoa kiasi USD 650K ambazo ni sawa na Tsh Billion 1.7 Kwa ajili ya kukamilisha usajili wa kiungo Balla Moussa Conte endapo Dili hilo litakamolika.
-Lakini bado Kuna Changamoto kubwa Kwa sababu nyota huyo haijaonyesha Nia ya kujiunga na wananchi.
- Simba SC wanatajwa pia kwenye mbio za kuwania saini ya kiungo huyo raia wa Guinea Conakry.