"Wamemtapeli Mwana Falme, Vita ni kubwaaa Mwana Falme kachachamaa anataka hela yake, Wadaiwa Sugu wanasema hatukulipi maana tulikupa hela nyingi za kuvunja mkataba na timu ya Zaka."
"Mwana Falme anaenda kushtaki Zurich"
Ahmed Ally, Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC