𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗙𝗘𝗥 𝗡𝗘𝗪𝗦, Uongozi wa Simba umemfuata Pacome Zouzoua nchini Ivory Coast kwaajili ya kumpa mkataba wa miaka miwili (2) wenye maslahi mazuri, inaelezwa kuwa Simba imeandaa mshahara mkubwa sana kwaajili ya kumnasa Pacome Zouzoua.
.
Kwa sasa Pacome Zouzoua yupo nchini kwao Ivory Coast kwaajili ya mapumziko pamoja na uzinduzi wa nyumba yake mpya aliyokua anaipambania kuijenga wakati wote akiwa yupo nchini Tanzania.
.
Endapo Simba watamshawishi vizuri Pacome Zouzoua, basi atajiunga nao msimu wa 2025-2026.
.