Mobile

TRANSFER UPDATE: Mashine Hii ya Benin Kutua Simba...

TRANSFER UPDATE: Mashine Hii ya Benin Kutua Simba...


TRANSFER UPDATE:

Klabu ya Simba SC Inakaribia kukamilisha Usajili wa Kiungo wa Kati wa Benin Rodriguez Kossi Mwenye Umri wa miaka 25.


Mkataba wa Kiungo huyo na Setif ES Umeisha na Simba wanapush Sana kumpata Mapema kabla hajaongeza Mkataba Mwingine.


Baadhi ya Viongozi wa Simba wameshawasili Nchini Benin Ili kukamilisha Dili hilo.


Taarifa za Awali zinasema mazungumzo yapo katika hatua Nzuri Sana na mchezaji huyo amevutiwa na Project ya Simba kuelekea Msimu Ujao.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad