Timu ya Yanga Yakanusha Kumsajili Mohamedi Hussen Zimbwe Jr

Timu ya Yanga Yakanusha Kumsajili Mohamedi Hussen Zimbwe Jr


Taarifa za kikachero kutoka ndani ya klabu ya Yanga zinasema kuwa hakuna mpango wa dili yoyote iliyowasilishwa kwa management ya mchezaji Mohamedi Hussen Zimbwe Jr kuhitaji huduma yake kwaajili ya msimu ujao 2025/2025.

Kwa Mujibu wa chanzo changu kimeeleza wazi kuwa klabu ya Yanga bado inafanyia kazi swala la kusajili beki wa kushoto lakini hakuna kikao hata kimoja ambacho jina la Zimbwe Jr limetajwa hiyo taarifa hizo kwa sasa ni tetesi tu na zipuuzwe japo Chanzo hicho kilieleza kuwa kutokuletwa jina hilo haimaanishi kwamba ni mchezaji mbaya na huwenda pengine likafikishwa mezani baadae

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad