Fei Toto Aingia Kwenye Mfumo wa Kocha Fadlu


Baada ya tetesi za muda mrefu chanzo cha kuaminika kutoka katika kamati ya Usajili ya Simba sc kimethibitisha kuwa Feisal Salum msimu ujao atavaa uzi mwekundu na mweupe na Tayari ofa ya Zaidi ya Bilioni Moja imewasilishwa Azam ili kiungo huyo ang'oke klabuni hapo.

Nilipomuuliza kuhusiana na Taarifa ya Azam kusema hakuna ofa iliyoyumwa kuhusu Feisal akasema ni kweli Ofa ilikua bado lakini walikua wanapambana kwanza na Managementi ya mchezaji kwa ajili ya maslahi yake hivyo baada ya kumaliza swala hilo ni Rasmi sasa azam wamepokea barua na muda wowote watakaa mezani na simba ili kujadili kuhusu kuuziana mchezaji huyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad