Taarifa zinaeleza kuwa ni kama Yanga SC wameachana na mpango wa kumsajili mshambuliaji Jonathan Sowah raia wa Ghana kutokana na Changamoto za kinidhamu.
Inaelezwa kuwa walikuwa tayari kumsajili lakini NIDHAMU yake ndio imeleta changamoto.