RULANI MOKWENA alihusishwa na klabu tatu baada ya kuondoka Wydad Casablanca ,
Wazee wa Usajili kutoka Bongo na Nje ya Bongo walitoa tetesi hizo . Na Vilabu hivyo ni ,
Orlando Pirates ,
Zamalek Sc,
Yanga Sc .
✅Klabu ya Orlando Pirates wakamtangaza Kocha wao mpya (means dili lilishindikana).
✅Zamalek Sc nao taarifa za kuaminika ni tayr washampata kocha wao mpya (ina maana nao dili limeshindikana )
⏳Kocha wa Yanga Sc Miloud Hamdi ametangazwa na Ismaily kama mkurugenzi wa Ufundi ..
✍🏻Ina maana Kwenye Vilabu vitatu ni Yanga Sc pekee ndo kabaki na uwezekano wa kuwa na Rulani Mokwena kama kocha wao mkuu .
✅Kwa hali halisi ya Ukurasa wa Coach Rulani wa Instagram ni dhahiri yupo tayari kuanza maisha mapya na klabu nyingine ambayo haijulikana mpaka sasa .