Ila Simba Bana, Unakumbuka Stori ya Manzoki, Ibenge Kuja Simba, Hata Hili la Fei Toto ni Stori tu

 

Ila Simba Bana, Unakumbuka Stori ya Manzoki, Ibenge Kuja Simba, Hata Hili la Fei Toto ni Stori tu

Sema sishangai, kama waliletewa Manzoki kwenye mkutano mkuu na wakashangilia wakiamini watamsaini, kama walishadanganywa kuletewa Ibenge kama kocha mkuu naye akaletwa kwenye mkutano mkuu wakaamini, siwezi kushangaa hata hili linaloendelea, jamani Hakuna hiyo deal, ni HAKUNA, hisia zenu zinachezewa vile vile hakuna hiyo deal!


FEISAL AKICHEZA SIMBA MSIMU UJAO MJEMCHOME NYUMBA YANGU

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad