Klabu ya Yanga imethibitisha kuachana na wachezaji watano 5 kuelekea msimu ujao..
Katika list hio yupo.. Aucho, Chama, Mkude, Musonda na Aziz Ki
Binafsi katika list hio nime shingazwa kutoliona jina la Ikangalombo 🙌🏼
Ikiwa Jonathan Ikangalombo atasalia ataacha maswali mengi sana kwa wadau wa mpira kutoka na kiwango chake kuwa Afifu.
Wewe yupi hujamuona kwenye list ya THANK YOU na imeku shangaza?