Exclusive🚨Nyota wa Simba Kibu Denis,emeanza majaribio ya wiki mbili kwenye klabu moja kubwa inayo shiriki ligi kuu ya Marekani (MLS).
Klabu hiyo inataka kumtazama kwa ukaribu nyota hiyo kabla ya kutuma ofa ya kwanza Simba.
Kibu anataka kucheza ligi ya Marekani ili awe karibu na familia yake.
Pia winga huyo ana ofa kutoka Rs Berkane ya Morocco,MC Alger ya Algeria na Al Ahli Tripoli ya Libya 🇱🇾.
Ikumbukwe Kibu amebakiza mkataba wa mwaka mmoja na Simba,hivyo hatoondoka bure Msimbazi