Mobile

Elia Mpanzu Kwenda Yanga, Yanga Wanaanzaga Kama Utani na Inaenda Kuwa Kweli

Elia Mpanzu Kwenda Yanga, Yanga Wanaanzaga Kama Utani na Inaenda Kuwa Kweli


 ALEX NGEREZA anasema kuwa "Yanga wameanza utani wa maneno kwamba wanamtaka Elia Mpanzu na mara nyingi Yanga huwa wanaanza kama utani halfu baadae wanamaliza deal la uhamisho wa mchezaji"

"Kama kuna mtu anahisi kwamba Yanga wanatania, basi aendelee kuamini hivyo lakini Yanga wakiamua jambo lao lazima wakamilishe msije mkaona ni utani kumbe tayari wapo kwenye mazungumzo ya kumchukua Elia Mpanzu"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad