𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗙𝗘𝗥 DONE: WILSON NANGU➡️SIMBA SC
Klabu ya Simba SC imefikia makubaliano na klabu ya JKT Tanzania katika uhamisho wa mlinzi wa kati Wilson Nangu
Simba SC ilishamaliza makubaliano rasmi ya kimaslahi June 28, 2025 na mlinzi wa kati Wilson Nangu
- WILSON NANGU IS RED 🔴