Mshambuliaji Fiston Kalala Mayele baada ya kutwaa CAF Champions League na Pyramids ameona inatosha.
Na sasa amefungua milango ya kurudi Jangwani sehemu ambayo ni nyumbani kwake msimu ujao .
Mambo yakienda vema Fiston Mayele atavaa Tena jezi ya Yanga msimu ujao.'' Mwayombo
NB: Kutetema kumerudi Tena