Timu ya APR imeialika rasmi Klabu ya Simba SC kwenye mchezo wa kirafiki wakuzindua uwanja wa Amahoro.
Awali APR waliialika timu ya Yanga kuelekea kwenye uzinduzi wa uwanja huo.
Mchezo huo anatarajiwa kupigwa kati ya Tarehe 1 au 3 ya mwezi Agosti.
NB: WANATAKA WAWAFUNGE NA WAO