Mwenyekiti wa wasemaji Afrika Ally Kamwe ametoa ahadi ya Million 10 kwa mwandishi Nassib Mkomwa kama atapata picha ya mchezaji Elie Mpanzu mazoezini Simba
Ikumbukwe Elie Mpanzu anahusiswa na kujiunga na Klabu ya Young Africans baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo wa miezi 6