Uwezi Amini Fei Toto Ndio Mchezaji Pendwa Kutoka Tanzania Huko South Afrika

 

Uwezi Amini Fei Toto Ndio Mchezaji Pendwa Kutoka Tanzania Huko South Afrika



"Tayari niko katika Jiji la Albert Chalamila. Nilikuwa na wiki moja nzuri ndani ya Afrika Kusini. Moja ya kitu nilichorudi nacho ni jina la staa wa Azam FC na Taifa Stars Feisal Salum. Fei ni jina kubwa katika Soka la Afrika Kusini. Wanampenda. Wanamfuatilia. Wanatamani aende kukipiga Ligi yao yao ya PSL."


"Kaizer Chief inatajwa sana kumtaka tena kwa fedha nyingi za usajili na kumlipa mshahara mnono ambao hakuna timu yetu inayoweza kumlipa bwamdogo. Sio Azam FC wenyewe. Sio Simba SC wala Yanga SC. Nimepewa taarifa na watu wa karibu na Fei kuwa ataondoka Azam FC baada ya msimu huu kumalizika, lakini bado sijajua anaenda wapi. Ila kwa fedha nilizoambiwa anapewa akijiunga na Kaizer aende tu huko. Wakati ni sasa. Mpira uko kwenye Mahakama ya Fei."

Mkunga

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad