Klabu ya Young Africans imempa taarifa Mshambuliaji Kennedy Musonda (30) kuwa haitaendelea nae baada ya msimu huu kumalizika na mchezaji amepokea taarifa hiyo
- Menejimenti ya Kennedy Musonda inafanya mazungumzo na Al Ittihad ya Libya na Power Dynamos ili ajiunge nayo, Menejimenti ya mchezaji huyo inamtafutia klabu mojawapo katika klabu hizi mbili
- Mchakato wa kumtafutia timu Kennedy Musonda unaendelea kwa Menejimenti ya Kennedy Musonda baada ya kumalizana na Young Africans kwa kila kitu.