MASTAA SIMBA KUFUNGASHIA VILAGO DIRISHA KUBWA LA USAJILI
Kuelekea dirisha kubwa la Usajili Uongozi wa klabu ya Simba Sc Utawaacha wachezaji zaidi ya sita... Wapo wazawa na wakigeni huku sababu ikifahamika kuwa ni Kutoendana na kasi ya klabu yao kwasasa kwa mujibu wa Kocha Fadlu Davies: Baadhi yao ni
❌ Mzamiru Yassin
❌ Omar Omar
❌ Edwin Balua.