Mshambuliaji wa klabu ya Singida Black Stars Jonathan Sowah baada ya kufunga magoli mawili [2] dhidi ya Tabora United tarehe 19 April amefikisha magoli 11.
Tukienda Kitakwimu huyu ndiye mshambuliaji bora zaidi kwa sasa nchini maana amesajiliwa dirisha dogo la usajili na bado amefunga goli 11 ikiwa karibu anamfikia Kinara wa Mabao
Mwamba kaweka chuma 2 safi,mechi (10) goli (11) mfungaji Wa pili nyuma ya Ahoua na Dube wenye goli (12) ligi bado inaendelea.