Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly wametupwa nje ya michuano kwa bao la ugenini kufuatia sare ya jumla ya 1-1 dhidi ya Mamelodi Sundowns kwenye nusu fainali.
Sundowns wametangulia fainali ya CAFCL kumsuburi mmoja kati ya Pyramids Fc dhidi ya Orlando Pirates.
FT: Al Ahly 🇪🇬 1-1 🇿🇦 Mamelodi Sundowns (Agg. 1-1)
⚽ 24’ Taher
⚽ 90’ Yasser (og)