Fiston Kalala Mayele amefunga magoli mawili na kuisaidia Pyramids kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kufuatia ushindi wa jumla wa 3-2 dhidi ya Orlando Pirates katika dimba la Juni 30, Cairo.
Fainali ya Wasauzi tupu imekataa, Mafarao, Pyramids wameifuata Mamelodi Sundowns kwenye fainali ya CAFCL.
FT: Pyramids 🇪🇬 3-2 🇿🇦 Orlando Pirates (Agg. 3-2)
⚽ 45+1’ Mayele
⚽ 57’ Sobhi
⚽ 84’ Mayele
⚽ 41’ Mofokeng
⚽ 52’ Nkota