TFF imevunja ukimya wake baada ya CAF kufanya uteuzi mpya. Kulingana na taarifa tulizozipata hivi sasa CAF imeteua Ofisa wa habari na mawasiliano wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC ya Tanzania na Stellenbosch ya Afrika Kusini.
Taarifa za hapo awali zinadai kuwa mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na Stellenbosch utachezwa tarehe 20 April 2025. Mchezo huo utachezwa katika uwanja wa New Aman katika visiwa vya Zanzibar nchini Tanzania.
Uwanja huo ulichaguliwa na Simba SC kwa kuwa CAF na Serikali ya ilikuwa imefunga wa Taifa wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam. Ili kufanyiwa marebisho.
Kwa hiyo Ofisa wa habari na mawasiliano TFF Clifford ameteuliwa na CAF kuwa Ofisa wa habari na mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na Yanga SC. Mchezo huo utachezwa katika uwanja wa New Amaan, Zanzibar.