George Ambangile anasema itakuwa ni busara sana kwa wenye mamlaka kutafuta suluhu itayopelekea mechi ya Kariakoo Derby kati ya Simba na Yanga kuchezwa ili Timu hizo zikamilishe mechi 30 kama timu nyengine. ukisema wapewe sare kila mtu point moja haita kuwa sawa kikanuni......lazima bodi ya ligi itafute muafaka mechi ya simba na Yanga ichezwe
Yapi maoni yako kuhusu hili?