Hizi Hapa Timu 4 za Afrika Ambazo Zitashiriki kwenye Kombe la Dunia la Vilabu Mwaka 2025
0Soka TanzaniaApril 11, 2025
Shirikisho la soka Duniani FIFA limezitaja timu nne za Afrika ambazo zitashiriki kwenye kombe la Dunia la Vilabu mwaka 2025 , mashindano yatakayofanyika nchini Marekani [ USA 🇺🇸]