Muda wa wachezaji wa Yanga wanaopenda starehe kujitafakari
Baadhi ya Wachezaji wa Yanga wanaopenda starehe kuanza kufikiria maisha mapya chini ya kocha Ramovic, Kocha huyu mpya amesema yeye katika muda ataokuwa Timu ya Yanga hata endekeza wachezaji wanaopenda starehe
Hiyo imekuja baada ya kuwepo tetesi kuwa baadhi ya wachezaji katika kipindi cha Kocha Gamondi walikuwa wakipenda starehe za usiku na kunywa pombe
Baadhi ya Picha na Video zilishawahi rushwa mtandaoni zikionesha baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiwa wakinywa pombe na kuvuta shisha