SIMBA: MO DEWJI AMETUMIA BILIONI 7 KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA



Wakati Belinda Paul akiwasilisha mafanikio ya Bodi ya wakurugezi ndani ya Simba msimu uliopita amesema
.
"Timu yetu imepata mafanikio makubwa msimu uliopita hasa baada ya kumaliza nafasi ya tatu kwenye ligi kuu ya Tanzania. Japo nafasi hiyo haikuturidhisha uongozi wa Simba ukaamua kufanya mabadiliko kwa kuleta wachezaji bora na himara kikiongozwa na Mwalimu Fadlu Davids"
.
"Baada ya tahadhari hizo tumeona kikosi kimpya kimeonesha matumaini kwenye ligi msimu huu"

Mohammed Dewj amepanga kutoa Bilioni 7 na sii kutoa tu tayari lishaweka kwenye account na ndiyo zimetumika kwenye usajili wetu wa msimu huu "Suleiman Kahumbu - mkurugenzi wa Fedha.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad