Manchester City imeilaza Fulham kwa mabao 3-2 katika dimba la Etihad huku Arsenal ikiisambaratisha Southampton kwa mabao 3-1 katika dimba la Emirates kwenye michezo ya Ligi Kuu England.
FT: Man City 3-2 Fulham
⚽ 32’ Kovacic
⚽ 47’ Kovacic
⚽ 82’ Doku
⚽ 26’ Pereira
⚽ 89’ Muniz
FT: Arsenal 3-1 Southampton
⚽ 58’ Havertz
⚽ 68’ Martinelli
⚽ 88’ Saka
⚽ 55’ Archer
FT: Brentford 5-3 Wolves
FT: West Ham 4-1 Ipswich
FT: Leicester City 1-0 Bournemouth