Cedric Kaze Kumfuata NABI Kaizer Chiefs

Cedric Kaze Kumfuata NABI Kaizer Chiefs

Cedric Kaze Kumfuata NABI Kaizer Chiefs

Cedric Kaze Anatarajiwa kuungana na Nabi kwa Mara nyingine tena kama Msaidizi wake Pale Kaizer chief baada ya Kocha Msaidizi Fernando Da Cruz kupe majukumu ya Ukurugenzi wa ufundi.

Hii itakuwa mara pili Kocha Nabi kufanya kazi pamoja na Kaze, mara ya kwanza walifanya kazi Yanga na sasa watakutana tena Kaizer Chief

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad