Kocha timu ya taifa ya Uganda, ‘The Cranes’, Paul Put ametangaza kikosi cha wachezaji 27 wa timu ya taifa hilo kwa ajili ya michezo miwili ya kuwania kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Sudan Kusini.
Kiungo wa Yanga Sc, Khalid Aucho na mshambuliaji wa Simba Sc Steven wamejumuishwa kwenye kikosi hicho kitakachovaana na Sudan Kusini Oktoba 11, 2024 kabla ya kurudiana Oktoba 15, 2024
MAKIPA:
Isima Watenga (Golden Arrows FC)
Nafian Alionzi (Defence Forces FC)
Charles Lukwago (Venda FC)
MABEKI:
Gavin Kizito (KCCA Fc)
Kenneth Semakula (Club Africaine)
Isaac Muleme (Viktoria Zizkov)
Nicholas Mwere (Bul Fc)
Abdu Aziizi Kayondo (Fc Slovan Liberec)
Bevis Mugabi (Famagusta Anorthosis)
Timothy Awany (Fc Ashnod)
Halidi Lwaliwa (Al Ain Sc)
Arnold Odong (Sc Villa)
Elio Capradossi
VIUNGO:
Khalid Aucho (Yanga Sc)
Bobosi Byaruhanga (Austin II FC)
Taddeo Lwanga (APR Fc)
Ronald Ssekiganda (Sc Villa)
Allan Okello (Vipers Sc)
Travis Mutyaba (Girondins Bordeaux)
Saidi Mayanja (KCCA Fc)
WASHAMBULIAJI:
Denis Omedi (Kitara Fc)
Jude Ssemugabi (Kitara Fc)
Shafik Kwikiriza (KCCA Fc)
Rogers Mato (FC Brera Strumica)
Derrick Nsibambi KCCA Fc)
Steven Mukwala (Simba Sc
Calvin Kabuye (Sandvikens IF).