Aucho mimi kwangu ni kama Kaka yangu najifunza mengi kutoka kwake hata tukiwa mazoezini na kama anapata namba mbele yangu Kocha yeye ndio anajua umuhimu wa mchezaji wake kumtumia kwenye mechi Uwanjani kwasababu yeye ndio mkuu wetu" Kiungo wa Yanga SC @jonasmkude20
JONAS MKUDE: SIJAWAHI KUMLOGA AUCHO
0
September 18, 2024
Tags