AHMEDY ALLY : SARE NA AL AHLY TRIPOLI NI SIKUKUU YA KITAIFA



Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally akizungumza na waandishi leo amesema kuwa

“Ukiangalia aina ya timu yetu kwa maana ya wachezaji wengi vijana na kuna wengine pale ndo kwa mara ya kwanza wanacheza mechi za kimataifa, mtu kama Kagoma kwa mara ya kwanza, wakina Debra Fernandez hawa ni kwa mara ya kwanza lakini tazama namna ambavyo wameweza kuwadhibiti Al Ahly Tripoli na hatimaye mnyama anaondoka salama pale Tripoli.

Sare ya bila bila kwetu tunaweza kufanya hata sikukuu ya kitaifa.” – Ahmed Ally, Afisa Habari Simba SC.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad