Skudu Makudubela aaga Yanga, Ashukuru Kupewa Heshima Kubwa

 

Skudu Makubela aaga Yanga, Ashukuru Kupewa Heshima Kubwa

Winga Skudu Makudubela raia wa Afrika Kusini ameiaga rasmi Klabu ya Yanga hali inayoashiria kuwa hatokuwa sehemu ya kikosi hicho kwa msimu huu wa 2024/25.

Kupitia waraka wake kwa klabu hiyo, Skudu ametoa shukrani zake kwa Familia nzima ya klabu ya Yanga kwa upendo na usaidizi ulioonyeshwa kwake wakati wote alipokuwa klabuni hapo huku akibainisha kuwa ni heshima adhimu kuiwakilisha Taasisi bora kama Young Africans Sc.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.