Aliewalaza Simba macho, atua Singida Black Stars

 

Aliewalaza Simba macho, atua Singida Black Stars

Klabu ya Singida Black Stars imemtangaza mshambuliaji, Victorien Adebayor (27) raia wa Niger kama mchezaji mpya klabuni hapo kwa mkataba wa miaka miwili.


Adebayor aliwika akiwa RS Berkane ya Morocco kabla ya kujiunga na AmaZulu ya Afrika Kusini mnamo Julai 2023 akidumu nayo mpaka Januari 2024 alipotimkia AS GNN ya nyumbani kwao Niger.


Adebayor alitajwa kuhitajika na Simba kabla ya kuamua kutimkia nchini Morocco katika Klabu ya Berkane.


Comments:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad