List ya Wachezaji Waliopendwa na Mashabiki wa Simba Kisha Kutimkia Yanga..Baadhi ya wachezaji waliocheza Simba SC na kuwa vipenzi kwa mashabiki, baadae wakafanya maamuzi ya kujiunga na Yanga SC kwa miaka ya karibuni.

1. Juma Kaseja
2.Kelvin Yondan
3.Ibrahim Ajibu
4.Morrison
5.Mkude Jonas
6. Emanuel Okwi
7.Clatous Chama

Kati ya hawa ni uhamisho upi umeacha maumivu msimbazi____________?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.